Votes
0 up votes and 0 down votes
Added
Nov. 26, 2018, 3:25 p.m.
Views
7,952 total views
last update March 24, 2023, 10:51 a.m.
Total Downloads
1,113 total downloads
last update March 24, 2023, 10:51 a.m.
Saturn 2006 ION Red Line
Need For Speed Underground 2
Author
3di mod boosta
more by 3di mod boosta
more by 3di mod boosta
Photos
Description
========= Saturn ION =========
== kiswahili ==
TABIA ZAKE & MATENGENEZO:
1. Maumbo (Paa jeusi)
2. bomba za moshi
3. Uwezo
4. Paa scoopu
5. Rangi katika vioo
6. Machata
7. mabawa (spoila)
8. Maandishi
9. mneso
10. Rangi za taa
11. Taa za Neon
12. Moshi wa nitro
13. Aina za taa za mbele
14. Aina za taa za nyuma
15. Hakuna matatizo ya breki
16. Dereva wa mchezo wa Nfsmw
17. Ringi pia unapaka rangi
SHUKRANI ZA DHATI:
wewe - asante kwa kupakia
Photoshop - programu ya cs5
Oleg - Zmodeler2 and 1.0.7
Turn10 - umbo na muonekano
3di mod boosta - mimi niliyewatengenezea hii modi.
nfsu360 - Kutupatia zana za kutengenezea modi za NFSC
NITAFUTE :
Instagram - 3di mod boosta
nyumbani - Dar es salaam/kimara
Badilisha : Nissan SENTRA
Imetoka : Forza horizon 3
Jinsi ya kuiweka katika mchezo
1.Chukua faili hilo "SENTRA" lipeleke katika folda CARS lililopo ndani ya mchezo wako.
2.Tumia NFS-CfgInstaller.exe na ufungue saturn.u2car alafu hifadhi (instal)
3.Fungua NFS-TexEd na ufungue FrontB.Izc ndani yake, pia badili ALAMA YA GARI iliyopo katika namba (120)
alafu badilisha
== English ==
FEATURES,CUSTOMIZATION & TUNING:
1. body kits (black roof)
2. exhaust tips
3. Perfomance
4. Roof scoops
5. Window tint
6. Vinyls
7. Spoilers
8. Decals
9. Hydraulics
10. Lights color
11. Underglow Neon
12. All Nitrous purge
13. Headlight styles
14. Taillight styles
15. No Brakedisc bugs
16. Nfsmw driver player
17. rims and Spinners also can be painted
CREDITS :
you - Thank you for downloading
Photoshop - cs5 white rabbit
Oleg - Zmodeler 1.0.7
Turn10 - model and textures
nfsu360 - for NFSUG2 ModTools
3di mod boosta - converted this mod to NFSC
Replaces : Nissan SENTRA
From : Forza horizon 3
How to install:
1.Copy the file "SENTRA" to CARS folder found in Your game directory.
2.Used car installer configuration NFS-CfgInstaller.exe and install saturn.u2car
3.Open NFS-TexEd and open FrontB.Izc and find SECONDARY_LOGO at (120) Replace it
========= Saturn ION =========